About me

Technology

Thursday, May 4, 2017

Madereva 6 wa Halmashauri walioghushi vyeti, wahukumiwa mwaka moja


Madereva sita wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa mkoani Lindi wamehukumiwa kifungo cha nje cha mwaka mmoja baada ya kupatikana na hatia ya makosa matatu ya kughushi vyeti vya kidato cha nne na kujipatia ajira.

Hukumu hiyo imetolewa leo  na Hakimu wa Mahakama ya Wilaya ya Kilwa, Gabriel Ngaeje baada ya kuridhishwa na ushahidi uliowasilishwa mahakamani.

Madereva waliohukumiwa ni Juma  Sungura, Issa Abdurahman, Abdul Chubi, Dactuce Joseph, Ahmad Selemani na Abdallah Kilolopera

No comments:

Post a Comment

Popular Posts