New
Arusha: CCM watimuana tena
Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa, Hamfrey Polepole
Arusha.Chama cha Mapinduzi (CCM) kimewafukuza viongozi wake katika kata nne kwa tuhuma mbalimbali ikiwepo matumizi mabaya ya fedha na mali za chama hicho.
Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa, Hamfrey Polepole ametangaza leo uamuzi huo na kuelezea CCM haitawavulia wanachama wake wabadhirifu
Viongozi waliofukuzwa na wa kata za Themi, Sombetini, Unga LTD na Sekei.
No comments:
Post a Comment