Mbunge wa Chadema Kunti Majala ameokolewa na Polisi Mara baada ya dereva wake kushushiwa kipigo na makada wa Chama Cha Mapinduzi ,Baada ya Kuendesha Gari Hilo Karibu na Makao Makuu ya CCM Dodoma.
N:B Jengo lipo karibu na barabara magari yanapopita kwahiyo mbunge alikuwa anapita barabarani
No comments:
Post a Comment