Rais Magufuli aliahidi na anetekeleza. Anaendelea kutatua kero mbalimbali zinazowakabili wananchi.
Jiji la Mwanza kwa sasa linazidi kunawiri na kupata mwonekano mpya kutokana na ujenzi wa Daraja la Furahisha kufikia katika hatua nzuri. Daraja hilo kwa juu wanapita watembea kwa miguu na chini vyombo vya usafiri. Kwa waliopita kwenye Daraja la Manzese wanapata picha ila hili la Furahisha ni la kipekee kutokana na jinsi lilivyonakishiwa.
No comments:
Post a Comment