Kauli ya serikali kuhusu wanaodai kusingiziwa vyeti feki
Baada ya serikali kutangaza majina ya watumishi wa Umma waliobainika kutumia vyeti feki vya taaluma, baadhi ya watu wameilalamikia serikali wakidai katika majina yaliyotolewa wapo watu ambao wameorodheshwa kimakosa. Leo May 3, 2017 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Angellah Kairuki ametolea majibu bungeni Dodoma.
Waziri Kairuki amesema…>>>‘Tumetoa nafasi kwa watumishi waliotajwa kutumia vyeti feki kukata rufaa, nitoe angalizo kwamba itakapotokea mtu akatumia fursa hii ya rufaa wakati akiujua ukweli basi adhabu yake itakuwa kubwa zaidi’
No comments:
Post a Comment