New
Kilichojiri Kwenye Kesi ya Wema Sepetu Leo Mahakamani Siasa
Kesi ya dawa za kulevya inayomkabili malkia wa filamu, Wema Sepetu yaahirishwa hadi April 11 baada ya upande wa mashtaka kusema kortini Kisutu upelelezi haujakamilika.
Muigizaji huyo ni mmoja kati ya wasanii ambao walitajwa kwenye list ya mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda yawatuhumiwa wanaojihusisha na biashara ya dawa za kulevya.
Katika upelelezi wa awali ambao ulifanywa na jeshi la polisi, walidai wamekuta msokoto wa bangi nyumbani kwa muigizaji huyo.
No comments:
Post a Comment